Kusanya Michango Kiurahisi

Simamia Michango Yako Kwa Njia Rahisi na Ya Kisasa

Tunatuma taarifa za mchango kupitia WhatsApp na SMS, tunafuatilia michango yote kwa wakati pamoja na kuwatumia watu wako ukumbusho mpaka shughuli yako ifanikiwe.

Mfano wa Ukumbusho

👋 Habari Mr.John,

Tunakukumbusha kukamilisha mchango wako wa harusi ya kijana wetu, FADHIL HAMIA DIGITAL.

Ahadi yako: TZS 100,000
Umelipa: TZS 30,000
Imebaki: TZS 70,000

Asante kwa ushirikiano wako.
✅ WhatsApp + SMS + Kadi ya Mchango

Kwa Nini Utumie Michango Online?

Mfumo mmoja unaokuwezesha kusimamia mchango wako kuanzia mwanzo hadi mwisho.

WhatsApp Otomatiki

Tunawatumia watu wako taarifa za mchango pamoja na kadi nzuri kupitia WhatsApp kwa sekunde chache.

SMS kwa Wasio na WhatsApp

Wale ambao hawatumii WhatsApp watapokea SMS yenye maelezo yote muhimu ya mchango wako.

Kadi za Kisasa

Tunakutengenezea kadi nzuri kabisa ya mchango bila gharama yoyote ya ziada.

Ukumbusho wa Michango

Tunakusaidia kutuma ukumbusho wa ahadi za michango kwa watu wako wote kwa WhatsApp na SMS.

Ufuatiliaji wa Malipo

Fuatilia ahadi za wachangiaji kupitia excel nzuri, ya kisasa na rahisi kutumia tutakayokutengenezea.

Ripoti za Michango

Tunaweza kuwa admin wa group lako la michango tukakusaidia kufuatilia na kukupatia taarifa zote kwa wakati.

HATUA 6 TU

Jinsi Michango Online Inavyofanya Kazi

Kuanzisha mchango wako ni rahisi kuliko unavyofikiria.

1
Chagua Kifurushi

Anza kwa kuchagua kifurushi utakacho kulingana na shughuli yako.

2
Tupe Orodha

Kisha tutumie majina na namba za simu za watu wako unaotaka wachangie.

3
Tunadesign Kadi

Tunakuandalia kadi nzuri kabisa ya mchango bila gharama ya ziada.

4
Tunatuma Taarifa

WhatsApp na SMS hutumwa kwa watu wako wote kwa wakati mmoja.

5
Tunatuma ukumbusho

Chagua siku, kisha sisi tunatuma ukumbusho kwa wote.

6
Unafuatilia

Tunakutengenezea excel rahisi ya kufuatilia michango yote.

BEI ZETU

Huduma na Vifurushi

Chagua huduma au kifurushi kinachokufaa.

Taarifa ya Mchango

Taarifa Pekee

TZS 600 / mtu
  • ✔ Tunatuma kwa WhatsApp
  • ✔ Wasio na WhatsApp watapokea SMS
  • ✔ Design ya kadi ni bure
  • - Hakuna ukumbusho
Anzisha Mchango
Inapendekezwa

Taarifa + Ukumbusho

TZS 800 / mtu
  • ✔ Tunatuma kwa WhatsApp
  • ✔ Wasio na WhatsApp watapokea SMS
  • ✔ Design ya kadi ni bure
  • ✔ Tunatuma ukumbusho baada ya wiki moja
Anzisha Mchango

Ukumbusho wa Michango

WhatsApp

TZS 220

kwa mtu mmoja

WhatsApp + SMS

TZS 300

kwa mtu mmoja

SMS Pekee

TZS 150

kwa mtu mmoja

Vifurushi vya Michango

👶 Mtoto

TZS 1,000
  • Taarifa ya mchango
  • Kadi ya mchango
  • SMS kwa wasio na WhatsApp
  • Ukumbusho mara 2 kwa mwezi
  • Excel ya kufuatilia michango
Chagua

👩 Mama

TZS 1,500
  • ✔ Vyote vya Mtoto +
  • Ukumbusho mara 4 kwa mwezi
  • WhatsApp + SMS
  • Usimamizi wa excel
  • Huduma kwa wateja saa 24
Chagua

138.2K

SMS Zilizotumwa

87.1K

WhatsApp Zilizotumwa

100+

Wateja Waliohudumiwa

99.9

% Ufanisi

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Hapana. Wasio na WhatsApp watapokea SMS ya kawaida yenye taarifa zote muhimu.

Ndiyo. Design ya kadi ni bure kabisa kwa kila oda.

Ndiyo. Utapata ripoti ya kiasi kilicholipwa, kilichobaki na maendeleo ya mchango wako.

Ndiyo. Wasiliana nasi (+255 749 987 122) tukutumie sample ya taarifa za michango na ukumbusho.

Wasiliana Nasi

Tupo tayari kukusaidia kuanzisha mchango wako leo.

WhatsApp: +255 749 987 122

Simu: +255 749 987 122

Email: info@michango.online

Mahali: Dar es Salaam, Tanzania

Anza Mchango Wako Leo

Bonyeza kitufe hapo chini utume taarifa zako kupitia WhatsApp. Tutakujibu ndani ya muda mfupi na kuanza kukuhudumia.

Wasiliana Nasi WhatsApp

Au tupigie simu:

+255 749 987 122